2021 AFCON Special Thread

40' bado Ivory Coast wapo mbele kwa bao 1

Kipa wa Ivory Coast kashachomoa michomo ya wazi kama mitatu hivi
 
Kabisa, VAR ya Afcon inakosa consistency kwenye matukio inayohusishwa. Ukiangalia penati za mechi ya tunisia na Mali matukio yanashabihiana na hili la EQG... sasa hatuelewi kipi na kipi wapi ni wapi VAR inahusishwa
Mi naona mara nyingi mpaka wachezaji wenyewe walalamike sana kutaka VAR,wasipomsumbua refa basi anapotezea
 
Kabisa, VAR ya Afcon inakosa consistency kwenye matukio inayohusishwa. Ukiangalia penati za mechi ya tunisia na Mali matukio yanashabihiana na hili la EQG... sasa hatuelewi kipi na kipi wapi ni wapi VAR inahusishwa
Yaani vurugu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…