Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #641
CAF wamemtetea wanasema alipata homa kutokana na joto kaliUjue hadi nilimuonea huruma. Sa sijui ni saa ilimdanganya?
Japo sitaki kuamini sababu na wenzie pia walikuwa na saa mkononi na walikuwa na uwezo wa kumwambia muda bado.