Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #641
CAF wamemtetea wanasema alipata homa kutokana na joto kaliUjue hadi nilimuonea huruma. Sa sijui ni saa ilimdanganya?
Japo sitaki kuamini sababu na wenzie pia walikuwa na saa mkononi na walikuwa na uwezo wa kumwambia muda bado.
Refa alimaliza mpira dk ya 89
Upnext Cape Verde Vs Burkinabe
Mechi ikirudiwaIt means aliwapa advantage Mali kwakuwa waliongoza goli....wamebebwa
Refa anastahili adhabu kali, ikiwezekana mechi irudiwe
Pamoja sana mkuuThanx kamanda FORT kwa update
Ila bana waeza kuta kweli. 🤣🤣🤣CAF wamemtetea wanasema alipata homa kutokana na joto kali