2021 AFCON Special Thread

Wale wa Azam mechi hii ya Malawi naona ZBC 2 inazidiwa quality na Malawi Tv channel 380 halafu wanatangaza English
 
Huyu Banda kiwango chake cha kawaida sana,humo ndani kwenye timu yao yeye ndo anaonekana wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…