2021 AFCON Special Thread

Aibu sana kwa professional players kufanya ujinga ule. Yale mambo wanafanya wahuni kama kina Juma Nyosso
Ni kweli kabisaaaa, timu zinacheza chini ya kiwango, dosari nazo kemkem na mwisho kabisa michuano imekosa ubora, utasema ndondo cup
 
Mkuu naona umenunua iPhone 13 Pro Max, waambie hao vijana wa makumbusho waiset vizuri
 
Hiki kifaa cha kichina umetumia?
 
Kuna mchezaji wa Ghana aliumia, ili kupata huduma Ghana wakatoa mpira nje. Baada ya huduma Gabon, walianzisha mpira na kuendelea kucheza bila ya kuachia mpira kwa Ghana... kama ilivyo ktk fair play
Doh.... sikuiona hii. Kumbe Gabon walifanya umafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…