Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #981
Yuko vizuri, ameziba makosa mengi sana ya mabekihuyu kipa atafungwa na mahakama tu
Ok sawaKushiriki kama mwanachama ni muda kidogo, siku hizi huwa anashiriki kama mgeni mualikwa
Yap, ni mromania 2016 alikuwa azam km director of footballAlafu huyu kocha wa malawi mzungu hajawai kuwa azam kweli....sura yake kama naifananisha
Kabisa, Malawi anaweza pita kama best looserYuko vizuri, ameziba makosa mengi sana ya mabeki
Amechaguliwa man of the matchKipa wa Malawi ni kikwazo
Director of football tena? Sio kwamba alikuwa msaidiziYap, ni mromania 2016 alikuwa azam km director of football
Anastahili alafu ni dogo tu 22 yrs, hapo awezi kosa timu, naombea wapite best looser hawa WanyasaAmechaguliwa man of the match
Yah, ngoja tuone matokeo ya makundi mengineKabisa, Malawi anaweza pita kama best looser
Hakuwa msaidizi, alikuwa director of football, hakukaa sana akasepaDirector of football tena? Sio kwamba alikuwa msaidizi
Yap, tuwaombee hawa ndugu zetu kabisaYah, ngoja tuone matokeo ya makundi mengine
Hawana team now, wanatembelea nyota ya jina tuHivi hawa Ghana wako serious kweli na haya mashindano?!
It seems hawakujiandaa vyakutosha
You're right, km Jordan na Andre Ayew ndo washambuliaji tegemeo kweli shida ipoHawana team now, wanatembelea nyota ya jina tu