2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Huyo kwaheri ya kuonana, hao Comoros wachezaji wao karibia wote wanacheza Ufaransa siyo wakuchukuliwa poa
Hapa sasa ndio utaona kwamba wazazi wetu wapuuzi...sasa wazazi wa hawa wacomoro walivyokuwa wanaenda ufaransa wetu walikuwa wanakuna mbupuz tuu ama wana demka tuu
 
Hapa sasa ndio utaona kwamba wazazi wetu wapuuzi...sasa wazazi wa hawa wacomoro walivyokuwa wanaenda ufaransa wetu walikuwa wanakuna mbupuz tuu ama wana demka tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani ukifatilia haya mambo unaweza kupata uchiz
 
Back
Top Bottom