Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Hahahaha mambo ya kuombeana njaa haya Egypt wako vipi sijasikia ukiwaongeleaMorocco though mmedroo lakini I'm so happy, point 7 sio haba.... mnacheza kwa kujiamini, na pira linavutia kweli kweli, hutamani mpira umalizike.
Nasubiri Algeria wangu, ingawa wana asilimia ndogo mno kupita ikiwa atashinda, na Guinea and Sierra Leone wakadroo