Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,101
Duuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]CIV 2-0 ALG
Aibu iliyoje, nakumbuka World Cup mwaka 2002, Ufaransa akiwa bingwa mtetezi wa taji alitolewa bila ya kushinda hata mechi moja, naona inajirudia huku AfconCIV 2-0 ALG
Wamekuja kwa mazoeaAlgeria na Ghana hawakujiandaa kuja kushindana walikuja na majina ya wachezaji na historia ya nchi zao
Uko wapi? Njoo uone huku maji watu wanaita mmaMorocco though mmedroo lakini I'm so happy, point 7 sio haba.... mnacheza kwa kujiamini, na pira linavutia kweli kweli, hutamani mpira umalizike.
Nasubiri Algeria wangu, ingawa wana asilimia ndogo mno kupita ikiwa atashinda, na Guinea and Sierra Leone wakadroo
Kabis mkuuAibu iliyoje, nakumbuka World Cup mwaka 2002, Ufaransa akiwa bingwa mtetezi wa taji alitolewa bila ya kushinda hata mechi moja, naona inajirudia huku Afcon
Algeria kikosi chake kile kile cha siku zote bora hata Ghana ana kisingizio hana timu ya maana, Algeria nahisi wachezaji wengi umri ushasogea hata wanaocheza Ulaya ukimtoa Mahrez tu wengine wote wako timu za kawaida halafu viwango vishashukaWamekuja kwa mazoea
Sema umri lakini wachezaji wao wengi wanacheza Ulaya, mtu kama Benrahma yupo West Ham tena first Eleven, kuna Sliman anacheza Lgue 1, Feghouli yupo Ureno na wengineo wengiAlgeria kikosi chake kile kile cha siku zote bora hata Ghana ana kisingizio hana timu ya maana, Algeria nahisi wachezaji wengi umri ushasogea hata wanaocheza Ulaya ukimtoa Mahrez tu wengine wote wako timu za kawaida halafu viwango vishashuka
Utasema Geita GoldDah yaani hawa waarabu hata kutengeneza chances hamna kabisa
Simuoni Mu-Algeria mwezanguBlackPanther ile Algeria unayoiandika si hii ambayo leo iko mbioni kuaga mashindano leo.
Kuna la kujifunza hapo,royalty ni jambo muhimu sana!!Naona second half inaanza ila Algeria mashabiki wao wanaipenda timu yao hadi baadhi wanalia. Bongo tungekuwa tunazomea tu mara Samata, oh Boko aingie yaani full kelele nadala ya kulia.