2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Morocco though mmedroo lakini I'm so happy, point 7 sio haba.... mnacheza kwa kujiamini, na pira linavutia kweli kweli, hutamani mpira umalizike.

Nasubiri Algeria wangu, ingawa wana asilimia ndogo mno kupita ikiwa atashinda, na Guinea and Sierra Leone wakadroo
Uko wapi? Njoo uone huku maji watu wanaita mma
 
Algeria kikosi chake kile kile cha siku zote bora hata Ghana ana kisingizio hana timu ya maana, Algeria nahisi wachezaji wengi umri ushasogea hata wanaocheza Ulaya ukimtoa Mahrez tu wengine wote wako timu za kawaida halafu viwango vishashuka
Sema umri lakini wachezaji wao wengi wanacheza Ulaya, mtu kama Benrahma yupo West Ham tena first Eleven, kuna Sliman anacheza Lgue 1, Feghouli yupo Ureno na wengineo wengi
 
As it stand

1B8B94A5-C87D-476D-9586-56EE3CC92064.jpeg
 
Back
Top Bottom