2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Aibu iliyoje, nakumbuka World Cup mwaka 2002, Ufaransa akiwa bingwa mtetezi wa taji alitolewa bila ya kushinda hata mechi moja, naona inajirudia huku Afcon
Umesahau Spain pia mwaka 2014 wakaja wamekariri kikosi cha 2010. Walichofanyiwa kwenye group stage na akina Van Persie, Robben chini Lous Van Gaal hawatasahau kabisa.
 
Back
Top Bottom