Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Kombe haliwezi kwenda Kwa mwarabu tena.Best looser ndio atabeba hili kombe msimdharau Tunisia kisa kapigwa na Gambia
Ngozi nyeusi hatukubali mwaka huu.Tumekuja kivingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe haliwezi kwenda Kwa mwarabu tena.Best looser ndio atabeba hili kombe msimdharau Tunisia kisa kapigwa na Gambia
Mbona umetaja chache?maana hata Cameroon na Senegal zinapigiwa upatu.Kwenye hii round of 16 bado kutakuwa na surprises kibao kwani kuna timu zinazopigiwa upatu zitafungishwa virago, Nigeria, Morocco, Mali, Egypt wajichunge sana. Nitarejea.
Kesho ndio shughuli inaanzaPamepoa sana. Tuone keshokutwa
Pole sana mzeheMbona Ivory Coast tunapitia magumu sana? Kumbukeni chama langu moja Algeria limeondolewa.
Kombe haliwezi kwenda Kwa mwarabu tena.
Ngozi nyeusi hatukubali mwaka huu.Tumekuja kivingine.
Warabu Wana roho mbayaa saana.Pole sana mzehe
Bado tu kuna chembe chembe za ubaguzi,,,,cjui waliwakosea nini waarabu dahh [emoji38]
Kombe haliwezi kwenda Kwa mwarabu tena.
Ngozi nyeusi hatukubali mwaka huu.Tumekuja kivingine.
kweli kabisa waarabu wabaguzi sana,acha wapasuliwe kwenye afcon mpaka watolewe wote.Huu uzi naona umejaa ubaguzi tu
Labda wewe ndiyo una roho mbaya, mwenye roho nzuri hawezi andika huu upumbafu ulouandika.Warabu Wana roho mbayaa saana.
Huu uzi naona umejaa ubaguzi tu
kweli kabisa waarabu wabaguzi sana,acha wapasuliwe kwenye afcon mpaka watolewe wote.
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.Mbona unateseka ivyo,,,,roho mbaya haitakusaidia chochote,,,,wamekukosea nini hao waarabu???? Wa2 kama wewe mnapaswa mkatwe vichwa kabisa, mnaharibu vizazi at end of the day watoto wanaiga chuki, roho mbaya na ubaguzi.
Timu mojawapo ya kiarabu ikichukua AFCON cjui utaonyesha wapi sura yako iliyojaa michuki na roho mbaya.
Acha ivyo mzehe
Nigeria tuko[emoji123].Nawapa nafasi Burkina Faso pamoja na Nigeria kufuzu katika mechi za leo[emoji91]
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.
upo nyonyo!
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.
upo nyonyo!
Kwani Mungu ni wa waislamu tu,au nilivyoandika neno Allah ndo nimekuchanganya?Hizo ni chuki binafc zinakuendesha,,,,hujaishinao wala huwajui waarabu kiundani,,,, hakuna jamii wa2 wake karimu na wastaarabu kama waarabu, ingawa co wote ukilinganisha na huku most of them wana roho mbaya, makatiri, mauwaji yanatendeka kila cku. Je, huyaoni haya!!! Au unajitoa ufahamu!!!!
Halafu unamhusisha Mungu na mpira, wewe ni muisilamu kweli? Au muisilamu jina!!![emoji16]