2021 AFCON Special Thread

Kwenye hii round of 16 bado kutakuwa na surprises kibao kwani kuna timu zinazopigiwa upatu zitafungishwa virago, Nigeria, Morocco, Mali, Egypt wajichunge sana. Nitarejea.
Mbona umetaja chache?maana hata Cameroon na Senegal zinapigiwa upatu.
 
Warabu Wana roho mbayaa saana.
Labda wewe ndiyo una roho mbaya, mwenye roho nzuri hawezi andika huu upumbafu ulouandika.


Kama hujui waafrika ndiyo wanaroho mbaya, makatili na wauwaji kuliko waarabu, japo co wote,,,,,,,,,,,,, fanya research utaona.


Arafu acha wa2 washabikie timu wazipendazo, chuki peleka kwenu
 
kweli kabisa waarabu wabaguzi sana,acha wapasuliwe kwenye afcon mpaka watolewe wote.

Mbona unateseka ivyo,,,,roho mbaya haitakusaidia chochote,,,,wamekukosea nini hao waarabu???? Wa2 kama wewe mnapaswa mkatwe vichwa kabisa, mnaharibu vizazi at end of the day watoto wanaiga chuki, roho mbaya na ubaguzi.


Timu mojawapo ya kiarabu ikichukua AFCON cjui utaonyesha wapi sura yako iliyojaa michuki na roho mbaya.

Acha ivyo mzehe
 
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.

upo nyonyo!
 
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.

upo nyonyo!

Hizo ni chuki binafc zinakuendesha,,,,hujaishinao wala huwajui waarabu kiundani,,,, hakuna jamii wa2 wake karimu na wastaarabu kama waarabu, ingawa co wote ukilinganisha na huku most of them wana roho mbaya, makatiri, mauwaji yanatendeka kila cku. Je, huyaoni haya!!! Au unajitoa ufahamu!!!!

Halafu unamhusisha Mungu na mpira, wewe ni muisilamu kweli? Au muisilamu jina!!!😁
 
ndio nikatwe kichwa kabisa lakini ukweli ni ukweli tu waarabu wabaguzi tena sana na namuomba sana Allah timu yoyote ya warabu isibebe ubingwa wa Afcon.

upo nyonyo!

Another thing kinachosumbuwa akili yako ni "kutojiamini na kujikubali" muda wote unahic kubaguliwa, huu ugonjwa mmbaya sana.
 
Kwani Mungu ni wa waislamu tu,au nilivyoandika neno Allah ndo nimekuchanganya?
Alafu nishakuelewa kumbe wewe unahisia za dini ndani yake.
 
Ndugu zangu tungeachana na mambo ya udini au ubaguzi wowote ule wa rangi, tafsiri kubwa ya michezo ni kutuleta pamoja na kusherehekea pamoja tukisahau tofauti zetu,ziwe za kidini Au ubaguzi wa rangi,, michezo hutufanya tusahau yote hayo.. Sasa si vyema kuona mkianzisha mijadara ya kiiman na ubaguzi ndani yake.. Hiyo sio dhima ya michezo...

Tufurahi pamoja ndugu zangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…