2021 AFCON Special Thread

Kwani Mungu ni wa waislamu tu,au nilivyoandika neno Allah ndo nimekuchanganya?
Alafu nishakuelewa kumbe wewe unahisia za dini ndani yake.

Wewe ndiyo mdini na mbaguzi na umeonyesha roho mbaya,,,,,,,dahh unatia huruma sana hata aibu huna,,,,unafikiri wote humu wanawachukia waarabu kama unavyo wachukia!!! Afu Unafikiri wote hawazishabikii timu za afrika ya kaskazini!!!!! Ni wale ambao hawajitambui na kuingiza chuki na roho mbaya
 
Kuna viumbe wameingia na 5G ya udini ndani ya thread ya FORTALEZA wakidhani 2tawakalia kimya. Bado kuna viumbe wana vimelea vya ubaguzi, roho mbaya na chuki ndani ya nyoyo zao. Wakiona unashabikia timu ya waarabu/kiisilamu inavimba kama ipasuke.
 
Ni kweli hiyo hautakiwi hata kidogo, dhima ya michezo ni kutuleta pamoja... Achana nao mkuu
 
Mkuu basi yaishe.
Nisamehe yamekwisha,aombae msamaha usamehewa.
nimekosa mimi,,nimekosa mimi,,nimekosa sana.
Jah bless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…