Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,281
HahahhaNasubir kuona jez ya Nigeria leo, najua hawakosei...
Zaid nawabetia leo wanashinda!
Wanashinda bila wasiwasi..Gabon wamevaa kama Brazil...😂😂😂
Watakuwa wanatembelea nyota ya BrazilWanashinda bila wasiwasi..
Ngoja tuone dk 90 zitaamuajeNaigeria aanakufa
Burkinafaso anakufa..
Nawaombea ushindi "oga oo"Nigeria vs Tunisia, ngoja tuone
Hataki masiharaRefa ni mtata kweri kweri