2021 AFCON Special Thread

Hawa burkina faso wanajituma sana na wanawachezaji wenye speed sana.....naona Cameroon ile back 3 yao inaruhusu sana pasi za kupitisha kwenye wing zao
Kocha wa Cameroon inabidi abadili mfumo second half, back 3 yao inavuja sana
 
Sasa Taifa maskini kama Cameron linaweza andaa mashindano ya Afcon, Tanzania tumerogwa na nani?

Tuna viwanja vizuri Bara na Visiwani kuliko hivi vituko tunavyoviona.

Hadi CHAN tunashindwa,hizi aibu hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…