Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #101
Kocha wa Cameroon inabidi abadili mfumo second half, back 3 yao inavuja sanaHawa burkina faso wanajituma sana na wanawachezaji wenye speed sana.....naona Cameroon ile back 3 yao inaruhusu sana pasi za kupitisha kwenye wing zao