2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Ujue Hamna Nchi Yenye Amani Inayoshiriki AFCON [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tanzania Tujitafakari, Hawa Ethiopia Kila Siku Wanapigana lakini wapo AFCON, Burkina Faso Ndio Wamechoka Lakini Wapo AFCON.

Tanzania Amani Haitusaidii, Ni Lazima CCM iondoke Ili Tushiriki Michuano Kama Hii, Kwasababu CCM haiwezi Kuondoka Kwa Amani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tunzenk Hii comment, Siku Pakichafuka Tanzania Tutashiriki Michuano Kama Hii
 
Zimbabwe wamo japo uchumi wao uko hovyo
 
Back
Top Bottom