Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #241
Hahahaounas ni mu Algeria, alimkimbiza zimbwe , zimbwe akakata upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaounas ni mu Algeria, alimkimbiza zimbwe , zimbwe akakata upepo
Wamekaza sana, mpaka sasa dakika ya 60 hawajaruhusu goliZimbabwe nishiidah!
Wemefeli sana jamaaqSenegal pamoja na majina makubwa kikosini bado wana struggle kupata matokeo! Kocha wao anakazi ya kufanya katika uwanja wa mazoezi
Ngoja tusubirie mtanange wa Morocco na GhanaWemefeli sana jamaaq
Mashabiki hamnaa
Viingilio vikubwa au watu hawana time
Afcon imepooza, mashabiki wanachagua mechi za kwenda lakini tusisahau na janga la corona bado lipoMashabiki hamnaa
Viingilio vikubwa au watu hawana time
Kwenye makaratasi ni mechi kubwa uikja uwanjani ni kama mechi ya Namungo na Kagera SugarYaani hawa Moroco na Ghana wanarukaruka tu hata sielewi wanachofanya