Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Huyu atafungiwa
Huyu mzambia leo kaborongaView attachment 2078749
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzambia leo kaborongaView attachment 2078749
EQG wamenyimwa tuta halaliKabisa, VAR ya Afcon inakosa consistency kwenye matukio inayohusishwa. Ukiangalia penati za mechi ya tunisia na Mali matukio yanashabihiana na hili la EQG... sasa hatuelewi kipi na kipi wapi ni wapi VAR inahusishwa
Hivyo hivyo 1-0Hii game imeishaje Mkuu ?
Asante kwa taarifaHivyo hivyo 1-0
Kazingua sana wamfungie chap kwa harakaHuyu atafungiwa
NakubarLeo mechi ni mbili tu, Wenyeji watakuwa wanashuka dimbani kuanza raundi ya pili
View attachment 2079228
Naunga mkono hoja yako, hivyo wakamaria wabadilishe fikra leoZa leo zina magoli
Naunga mkono hoja yako, hivyo wakamaria wabadilishe fikra leo
Hahaha, kuweni makini na wahabeshi
Kweli Mkuu na huwa soka lao ni la kasi hawa.Hahaha, kuweni makini na wahabeshi