Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Ethiopia sio wanyongeee
Yaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀naona hata sijamaliza kuandika wamesharudisha
Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidiYaani ethiopia kapewa dkk 4 tu za kufurahia kuongoza. 😀
Mechi ya kwanza ya cameroon ilikuwa 2 kwa mojaLeo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi
halafu na kelele za mashabiki zinaleta amshaamsha siyo butu butuNadhani kinachofanya game za Cameroon zikawa nzuri ni ule uwenyeji wake kwamba timu wanazokutana nazo hawakubali kuwa wanyonge hivyo nao wanakaza.
kweli nilisahauMechi ya kwanza ya cameroon ilikuwa 2 kwa moja
Ethiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hiiCameroon wanapelekewa moto
Hata mimi wamenishangaza, underdog ila wako vemaEthiopia sikutegemea kama wana uwezo kiasi hii
Tusisahau Ethiopia wana klabu nzuri sana kwa ukanda wetu japo siku hizi siisikii sana St. GeorgeEthiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia