Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Left footer magicianHuyu chukwezi huyu...🤔
Anajua sana..wana press hatariLeft footer magician
Wana matarumbeta yao fulani hivi tone zao za kipekee sana..tangu kitambo hicho.Kwambali nasikia ngoma za Nigeria wawapi kwenye Afcon...way back
Nawakubali sana, ni moja ya ladha ya mashindanoWana matarumbeta yao fulani hivi tone zao za kipekee sana..tangu kitambo hicho.
Hii haina penalty, Tunisia anapigwa kimoja na ndio had mwishoNaona na mechi hii matuta yataamua mshindi
Sio kwamba kuna mtu atapigwa kimojaNaona na mechi hii matuta yataamua mshindi
Naona wanacheza kwa kutegeana apaSio kwamba kuna mtu atapigwa kimoja
Nigerian vodoo itawasaidia 😀😀😀Hii haina penalty, Tunisia anapigwa kimoja na ndio had mwisho
Mbinu mzee, hatua hii haihitaji ufundi mwingi bali ni mbinu na matokeo yake sisi mashabiki tunaishia kuona game inaboaNaona wanacheza kwa kutegeana apa
Kwa takwimu hizi ni wazi kabisa kuwa Tunisia wanapaki basiHalf time
Ball Possession
Nigeria 51.6% corner 4
Tunisia 48.4% corner 0