2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hawa cameroon mechi waliyocheza bila janjajanja ni moja tu, nyingine zote unaona kabisa wanauwezo wa kawaida tu, hâta hii mechi bila redcard ilikuwa ni mechi ngumu sana.
Ata mimi siwaoni wakichukua hili kombe.mgongo wa corona utawabeba kwa mechi ya leo tu.Mpira wao niwakawaida sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimewachukia mno cameroon kwa mara ya kwanza maishani.....hivi kuna raha gani kuutaka ushindi ki ujanja ujanja na wao wakijua kabisa hiki kitu?
 
Hizi kadi nyekundu karibu kila mechi maanake nini tena hii mechi ya Cameroon na Comoros refa ameitoa mapema kabisa hadi kamaliza kabisa ladha ya mpira.
 
Back
Top Bottom