2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

.
20220207_002723.jpg
 
Sitaki kuamini hii mechi ingefika matuta
Mane!! Mane!!! kombe lilikuwa lenu hili
Anyway who knows!
 
Kumbe huyu golikipa Gabaski anadakia Zamalek, ana miaka 33 na mpaka sasa kashachezea timu ya taifa ya Misri michezo minne tu
Nafasi kubwa anapewa yule mwingine sijui elshanyw...huyu mshenzi kamprove mrong ...
 
Back
Top Bottom