Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii video hapa chini;
Na ikija kwny reliability Wajerumani/UK/France/US watasubiri miaka elfu moja kwa wajapan.Kwenye ulimwengu wa Magari hawa wajapan watasubiri Sana kwa European cars.
Hii Benz ni zaidi ya nyumba ya kifahari
Hahahaha!!!Na ikija kwny reliability Wajerumani/UK/France/US watasubiri miaka elfu moja kwa wajapan.
Na ikija kwny reliability Wajerumani/UK/France/US watasubiri miaka elfu moja kwa wajapan.
Hata Toyota za sasa ni sawa na haohao wa Europe.Na ikija kwny reliability Wajerumani/UK/France/US watasubiri miaka elfu moja kwa wajapan.
Na ikija kwny reliability Wajerumani/UK/France/US watasubiri miaka elfu moja kwa wajapan.
Niliona.
Nikadhani nimeona vibaya.
Not necessarily mkuu. Mwakani hio hio watu wanaruka nayo. Bongo ya sasa si ya mwaka 1947, kwa sasa hizi Bugatti, Ferrari, Rolls Royce, Aston Martin na hizi cruiser Vx v8 ziko za kumwaga sana Tanzania, watashindwaje hako ka Benz ambako hakatazidi 200m? Kuna thread humu JF zina picha za magari ya kifahari waliyo nayo Watanzania, zitafute. Usiseme TWAFA, sema NAFA. Tuendelee kubadilishana burudani mazeeMpk leo ukiagiza S-class ya 2005 bado unaogopeka huku mtaani,so hio ya 2021 itaonekana huku mtaani kwny 2034 hivi.
Not necessarily mkuu. Mwakani hio hio watu wanaruka nayo. Bongo ya sasa si ya mwaka 1947, kwa sasa hizi Bugatti, Ferrari, Rolls Royce, Aston Martin na hizi cruiser Vx v8 ziko za kumwaga sana Tanzania, watashindwaje hako ka Benz ambako hakatazidi 200m? Kuna thread humu JF zina picha za magari ya kifahari waliyo nayo Watanzania, zitafute. Usiseme TWAFA, sema NAFA. Tuendelee kubadilishana burudani mazee