Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
- Thread starter
- #41
Ukiwa na kipato kisicho cha mawazo, mjerumani au gari toka Europe hakupi presha.Tuna heshimu sana ubora wa magari ya kijeruman lakini nikukumbushe hayafai mazingira yetu ya kibabe hata siku moja.
Hata hizo gari za Japan mnazoona mnaweza kuzimudu ni kwasababu mnaweka spare below standards na hamzipi service kwa wakati.