2021 Marcedes Benz S-Class; Mjerumani ametisha hapa

Mpk leo ukiagiza S-class ya 2005 bado unaogopeka huku mtaani,so hio ya 2021 itaonekana huku mtaani kwny 2034 hivi.
Not necessarily mkuu. Mwakani hio hio watu wanaruka nayo. Bongo ya sasa si ya mwaka 1947, kwa sasa hizi Bugatti, Ferrari, Rolls Royce, Aston Martin na hizi cruiser Vx v8 ziko za kumwaga sana Tanzania, watashindwaje hako ka Benz ambako hakatazidi 200m? Kuna thread humu JF zina picha za magari ya kifahari waliyo nayo Watanzania, zitafute. Usiseme TWAFA, sema NAFA. Tuendelee kubadilishana burudani mazee
 

Kwa hio huko mtaani kwako hizi Bugatti, Ferrari, Rolls Royce, Aston Martin na hizi cruiser Vx v8 ziko za kumwaga sana sio mkuu?

Ma V8 haya mnayaona kwa wingi sababu yanatumika serikalini/wizarani/mawaziri/wabunge,niambie ni kwanini huzioni Nissan Patrol y62 mtaani kwako kwa wingi kuliko lc200?

Nimeshaiona GT-R 2014 model, FOB yake tu ni $74,000 iko hapa mtaani imetulia tu, lkn hii haiwezi kunifanya nikasema kwamba ziko mtaani za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…