2021 mpaka sasa, matajiri wengi sana wameibuka. Kubali kataa!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
2,533
Reaction score
5,837
Ni ukweli usiopingika ukiondoa mambo mengine, watu wenye mitego yao wamebutua kwelikweli. Nawaona vijana wengi wa rika yangu nao sio haba! Tycoons wa mjini wamekuwa matajiri zaidi. Magari ya kila aina yamenunuliwa tena ya bei mbaya! Nyumba za bei mbaya zimeibuka kila kona. Wenye pesa wameongeza uwekezaji etc!

Kifupi maisha yamechangamka. Ila wasio na channel ndo wamezama mazima…….Yote kwa yote tuendelee kupambana.
 
Awamu hii kama uko kitengo kina hela, ukizipatia mwanya we pita nazo za kutosha......
Ukiziacha wenzio, wataanua wasibakize hata senti na hakuna kitu watafanywa
 
Ni ukweli usiopingika ukiondoa mambo mengine, watu wenye mitego yao wamebutua kwelikweli. Nawaona vijana wengi wa rika yangu nao sio haba! Tycoons wa mjini wamekuwa matajiri zaidi. Magari ya kila aina yamenunuliwa tena ya bei mbaya! Nyumba za bei mbaya zimeibuka kila kona. Wenye pesa wameongeza uwekezaji etc!

Kifupi maisha yamechangamka. Ila wasio na channel ndo wamezama mazima…….Yote kwa yote tuendelee kupambana.
Lugumi - alikimbia hadi nchi.
jah-car-hire - aliufyata kama maji ya mtungini.
 
Hela zimeacha kutumika kutekeleza miradi ya maendeleo ya Nchi kama barabara, Maji na vitendea kazi kwenye mahospitali yetu, badala yake zimeingia mifukoni mwa watu kupitia Viongozi wezi na mafisadi 🙌

Sasa hayo magari ya bilioni 2.3 ama milioni 600 yataendeshwa kwenye barabara zipi?
 
Wengine wana michongo yao sio watu wa serikalini
 
Hiyo michongo ni ipi Mkuu zaidi ya kuji-associate na Wanasiasa

Maana hela zipo Serikalini, ndiyo maana Serikali ikibana matumizi hela zinaadimika mtaani
 
Hela zimesambaa saivi. Hata wenye biashara wanabutua
 
Back
Top Bottom