Lugumi - alikimbia hadi nchi.Ni ukweli usiopingika ukiondoa mambo mengine, watu wenye mitego yao wamebutua kwelikweli. Nawaona vijana wengi wa rika yangu nao sio haba! Tycoons wa mjini wamekuwa matajiri zaidi. Magari ya kila aina yamenunuliwa tena ya bei mbaya! Nyumba za bei mbaya zimeibuka kila kona. Wenye pesa wameongeza uwekezaji etc!
Kifupi maisha yamechangamka. Ila wasio na channel ndo wamezama mazimaβ¦β¦.Yote kwa yote tuendelee kupambana.
Kula kwa urefu wa kamba....Kabisa
Mama yao aliwambia wale kwa urefu wa kamba......Wenye channel serikalini full kubutua
Hela zimeacha kutumika kutekeleza miradi ya maendeleo ya Nchi kama barabara, Maji na vitendea kazi kwenye mahospitali yetu, badala yake zimeingia mifukoni mwa watu kupitia Viongozi wezi na mafisadi π
Sasa hayo magari ya bilioni 2.3 ama milioni 600 yataendeshwa kwenye barabara zipi?
Hiyo michongo ni ipi Mkuu zaidi ya kuji-associate na WanasiasaWengine wana michongo yao sio watu wa serikalini