2021 NBA Playoffs special thread

Provided Lebron James is 100% fit.

He will be.

ESPN wameandika kuhusu jamaa kukiuka protocols za Covid-19 ila hajapewa adhabu wala hatakuwa isolated.

Na inaonekana bado hajapata chanjo.
 
Reactions: BAK
Nimeiona hiyo, lakini je, timu nyingine hawatalalamika kwamba ni LJ ndiyo sababu anapewa special treatment?
He will be.

ESPN wameandika kuhusu jamaa kukiuka protocols za Covid-19 ila hajapewa adhabu wala hatakuwa isolated.

Na inaonekana bado hajapata chanjo.
 
Analia sababu ya Bucks kupelekwa moto na Heat, natania [emoji23]
Mwangalieni mpuuzi mwingine! Maovu aliyoyafanya huyo dhalimu anajifanya hayajui kabisa!!!
 
Overtime 👍🏽
 
Miami sijui wana nini leo, niliwapa hii game lakini wanazembea sana.

Noma, kama Giannis angekuwa na accuracy ya 80%+ kwenye free throws, game isingeenda OT hii.

Ila wanaweza kushinda.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…