2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Asante sana Damian Lillard, watu wanatuchukulia poa sana ila Blazers tuna balaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sioni Lakers wakifika fainali, hawa jamaa wakifika fainali itakuwa ni dharau sana kwa Western Conference. Lakers kuingia tu kwenye playoffs imebidi wapambane kwanza kwenye tournament ya play-in.

Nets na Philadelphia kati ya hao wawili naona mmoja akitoboa mpaka fainali kwa upande wa Eastern Conference.
Finals: Nets vs Lakers.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Phoenix wana nafasi nzuri sana ya kuwasimamisha hawa in 6 games.
Sioni Lakers wakifika fainali, hawa jamaa wakifika fainali itakuwa ni dharau sana kwa Western Conference. Lakers kuingia tu kwenye playoffs imebidi wapambane kwanza kwenye tournament ya play-in.

Nets na Philadelphia kati ya hao wawili naona mmoja akitoboa mpaka fainali kwa upande wa Eastern Conference.
 
Niko nafuatilia game yao ya kwanza. Sioni Lakers wakitoboa kwenye hii series, Suns wako vizuri sana. Suns in 4

  • Nzuri
Reactions: BAK
Na mimi naangalia hiyo hiyo niliingiwa na hofu baada ya CP3 kuumia lakini inaelekea yuko okay.

Niko nafuatilia game yao ya kwanza. Sioni Lakers wakitoboa kwenye hii series, Suns wako vizuri sana. Suns in 4
 
Nimeshangaa kuona Philly wakitolewa jasho na Wizards.
Sioni Lakers wakifika fainali, hawa jamaa wakifika fainali itakuwa ni dharau sana kwa Western Conference. Lakers kuingia tu kwenye playoffs imebidi wapambane kwanza kwenye tournament ya play-in.

Nets na Philadelphia kati ya hao wawili naona mmoja akitoboa mpaka fainali kwa upande wa Eastern Conference.
 
Referees wameanza kuwabeba LA.
 
Na mimi naangalia hiyo hiyo niliingiwa na hofu baada ya CP3 kuumia lakini inaelekea yuko okay.
Hii series inategemea sana afya za watu. CP 3 is very tough mentally (chupuchupu amwaribie sherehe Curry msimu fulani) Tatizo na yeye gari la mkaa. Intensity ya playoff inaweza mtibulia injuries (pia kwa Bron na AD). Lakini wote wakiwa wazima Lakers anashinda.
 
Msimu uliopita ilikuwa hivyo hivyo Lakers game ya kwanza alipoteza kwa Blazers. Lakin kilicho fuata kilikuwa kilio kwa Rip City. Suns wajichunge sana na wakomae hasa, hii series niko upande wao. Booker na Ayton jana walikuwa kwenye kiwango bora kabisa.
Labda referees wawabebe na Suns wakishinda itawapa confidence kubwa kwamba they can dance with LA and kick them out of playoffs.
 
Hao Memphis sio wakifika popote pale, Jazz leo wamecheza poa sana ni vile tu hawakuwa na bahati, ile shuti kupokea kwa Brooks ndio iliwamaliza kabisa.
Memphis kamfany mby utah jazz
 
Back
Top Bottom