Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Kuna tetesi aliona hiyo ni ndogo na umri umeenda hivyo anataka mkataba wa at least 3 years ba pesa ndefu zaidi ya hiyo 44. Anahofia akikubali huo mwaka mmoja halafu bahati mbaya akiumia ndiyo imetoka hata kupata $15 million per year itakuwa mgogoro.
Maximum tenure kwa umri wake ni 2 years, maana anaenda kuwa na 38.
Kwangu nafikiri ni bora akubali hiyo, sioni contender mwenye salary cap ya kumpa 20 per year.