Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Kuna tetesi aliona hiyo ni ndogo na umri umeenda hivyo anataka mkataba wa at least 3 years ba pesa ndefu zaidi ya hiyo 44. Anahofia akikubali huo mwaka mmoja halafu bahati mbaya akiumia ndiyo imetoka hata kupata $15 million per year itakuwa mgogoro.
Aina ya mchezo Celtics waliomchezea Durant sio hiyo old school bully basketball?
Bucks watatoboa safari hii!? Maana naona Heat na Celtics wako vizuri sana.
Wonderful enough hao Lakers wamechemsha kwenye regular season.Ikibidi aende Lakers kama nia yake ni championship. Sidhani kama akiwa Phoenix ana hiyo chance, hata kufika conference finals mwakani sidhani, akina Lebron na kina Curry hawatatolewa early na watakua healthy. West kugumu sana! [emoji23] or do KD style and join the Bucks [emoji3]
Celtics' defensive game plan for KD was incredible..Aina ya mchezo Celtics waliomchezea Durant sio hiyo old school bully basketball?
Let’s wait and see how this will unfold.
SplashGame 3 secured.
game 4 on the road at bay area.
Ja got knee injury sijui kama next game atakuepo but he felt the taste of his trash talks.
Curry score 30
Klay and poole walifunguka sana.
Chase center ni pagumu kwa timu pinzan kutoka salama .
The electric energy ya fans na players mnajikuta mnapoteanaView attachment 2216140
ChinaHivi Hashim Thabit yuko wapi?
Nimecheki game zote mbili za semi kuke memphis.
Ili tuweze shida hii series inabidi tukadhibiti kale kadogo ja morant.
Kameniudhi sana how comes kana disrespect futerr hall of famer Bwana steph
Haka kadogo ni kama New version of Westbrook aka WESTBRICK[emoji2]