2021 NBA Playoffs special thread

Ja anajua sana japo sijawahi furahia uchezaji wake wala mwenyewe jinsi alivyo, ni aina ya wachezaji wanaojituma sana na ni washindani wasiopenda kufungwa, GSW wakilegeza anawaosha
Yeah the kid is natural.

But to mee namuona kama Russell Westbrook ajae.

Anaweza win MVP,scoring titles but ain't the ring.

Russ anajua ila attitude yake huwa inamleyea misfortune kokote anakokwenda
 
Kale katoto kana dharau sana yani kanacheza kame kamia halafu kama ka tu insulate Dabnation
Mbwrmbwe kibao kanawakosea adabu wakubwa. Ja akiacha dharau anaweza kufika mbali kana kitu ndani yake kikubwa kapate mtu sahihi wa ku lead in right pass
 
Hahahahaha bucks chali daaah what happened to giannis and his crew. Jayson tatum ni noma.

Mavericks nao wamepiga na nyudo ya kichwa suns

So sad chris paul atakuia staafu bila ring yoyote.

West finals ni Warriors vs Mavericks

East finals ni heat vs Celtics.

Oi timu zote kali
 
Kale katoto kana dharau sana yani kanacheza kame kamia halafu kama ka tu insulate Dabnation
Mbwrmbwe kibao kanawakosea adabu wakubwa. Ja akiacha dharau anaweza kufika mbali kana kitu ndani yake kikubwa kapate mtu sahihi wa ku lead in right pass
Sasa hivi kako Cancun huko [emoji2][emoji1787]
 
Bucks msimu huu hawajawa na moto sana, giannis utamkaumu bure kafanya mpambano sana binafsi, kawavuta sana bucks kila series shida timu yao three point shooter ni wachache ukilinganisha na wapinzani wake
 
Yeah the kid is natural.

But to mee namuona kama Russell Westbrook ajae.

Anaweza win MVP,scoring titles but ain't the ring.

Russ anajua ila attitude yake huwa inamleyea misfortune kokote anakokwenda
[emoji3]

Kweli, ila ana umri mdogo sana, si rahisi akakosa ring aisee
 
Nilitamani sana Bucks wangepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…