2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

-I think Atentekumpo anahitajii. [emoji183]
-Chris Paul na wanae nae kasota sanaa akipata Ndoo nadhani atapumzka vyemaa[emoji2].
-Hawa watoto wa ATL kama wana upepo fulani hivii wa GSW 2015 [emoji1] wakibeba ndoo hawa Mwakani NBA itakua kivumbii.
 
Duuuuh
Suns - 104
Clippers - 103
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hii Ndio Playoff ya NBA Wallah [emoji1787][emoji119]
 
Mwaka huu bingwa Ni bucks

Trust me hao wote new comers hawana experience na finals .

Namwona Giannis ,jrue holiday,pj Tucker wakibeba ubingwa
 
Completely unexpected Mkuu! It seems Bucks for the first time in the franchise history are on their way to 2021 NBA Finals.
Bucks wanachukua hii kitu .

Last year walicheza na Lakers finals .
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwaka huu bingwa Ni bucks

Trust me hao wote new comers hawana experience na finals .

Namwona Giannis ,jrue holiday,pj Tucker wakibeba ubingwa
Maswala ya kukariri flani atakula fagio msimu huu hakuna Mkuu. Hakuna underdog this time Mzee Wangu, kwa Sasa Ni uwezo, jitihada na vipaji Ndio Huamua matokeo Mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwaka huu bingwa Ni bucks
Are you sure? End of third quarter Hawks 88, Bucks 85! Yetu macho...One thing I am almost sure of is that ubingwa Bucks watauota tu!

Update: 5 seconds to go and Hawks are ahead by a point!

And now with 4.6 seconds to go Hawks are ahead by three points!

GAME OVER...Hawks win 116-113 and they lead the series 1-0!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Who knew that Hawks will steal home court advantage in the first game!? 2021 NBA Playoffs’ unpredictability continues.
 
Who knew that Hawks will steal home court advantage in the first game!? 2021 NBA Playoffs unpredictability continues.
Kupigwa nyumbani kwako katika mchezo wa kwanza mbele ya mashabiki kunakatisha tamaa...! Trae Young kawatoboa point 48! Kwa mabavu nawavulia kofia Bucks na kama ungekuwa mchezo wa mieleka wangeshinda asubuhi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Niwe mkweli tu Mkuu Mag3 sikutegemea Hawks washinde mchezo hata mmoja nilikuwa nimeshabeba fagio langu 4-0. Sijui hawa Bucks ile series na BROOKLYN imewachosha!? Sikutegemea kabisa Mkuu.
Kupigwa nyumbani kwako katika mchezo wa kwanza mbele ya mashabiki kunakatisha tamaa...! Trae Young kawatoboa point 48! Kwa mabavu nawavulia kofia Bucks na kama ungekuwa mchezo wa mieleka wangeshinda asubuhi!
 
Are you sure? End of third quarter Hawks 88, Bucks 85! Yetu macho...One thing I am almost sure of is that ubingwa Bucks watauota tu!

Update: 5 seconds to go and Hawks are ahead by a point!

And now with 4.6 seconds to go Hawks are ahead by three points!

GAME OVER...Hawks win 116-113 and they lead the series 1-0!
Hawa Hawks wana Moto aisee

Trae young huyo dogo ana future nzuri Sana
 
Usiku wa leo kuna game ya Clippers v/s Phoenix Suns,

Naweka mzigo kwa Phoenix Suns
 
Usiku wa leo kuna game ya Clippers v/s Phoenix Suns,
Naweka mzigo kwa Phoenix Suns
Mna bahati mnaweka mizigo ya maneno matupu la sivyo mngeumia sana tu. Kuna uwezekano Phoenix Suns kupata kipigo cha mwaka leo lakini mimi mjanja siweki mzigo. Jana watu wanaoweka mizigo ya kweli kweli wameumia na wamepata hasara kweli kweli...
 
Sio maneno ni kweli nasafiri nao leo. Suns nawaona wako Moto sana kuliko Clippers.
 
Mna bahati mnaweka mizigo ya maneno matupu la sivyo mngeumia sana tu. Kuna uwezekano Phoenix Suns kupata kipigo cha mwaka leo lakini mimi mjanja siweki mzigo. Jana watu wanaoweka mizigo ya kweli kweli wameumia na wamepata hasara kweli kweli...

Clippers hii game wanaweza kushinda, ila uwezekano wa kiwin series ni mgumu, ingawa chochote kinawezekana.

Maana round zote mbili alipigwa kwanza 2 za mwanzo na akachomoa.
 
Wanaenda mapumzikoni Suns wakiwa mbele kwa pointi mbili 48-46! Kazi ipo!

Update 1: Mambo yamegeuka...Clippers sasa wanaongoza kwa pointi kumi na tatu
71-58!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom