Nimiaka mitano, lets hope for good, mbali na hapo wengi tutawapoteza mapema kwa kukata tamaa.Tupo kwenye right track
Hii si inasemekana tunajenga kwa njuluku zetu wenyewe kwa 100%?
ATCL tangu kuanzishwa haijawahi kupata Faida.
Magufuli tangu amekuwa Rais Hajawahi kufanikiwa JAMBO LOLOTE.
Magufuli tangu amekuwa Rais Hajawahi kufanikiwa JAMBO LOLOTE.
Mtanzania kukimbilia kuhisi Kuwekewa Vikwazo badala ya kutoa Suluhisho au hata Kuiombea Mema nchi yako ni dalili ya Ujuha uliokukomaa hasa.Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu
Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya vitu hatutaweza kupata kama taifa. Spear ya vitu kama ndege zinazotoka nchi kama Marekani yawwzekana zizipatikane. Je tutafanyaje wakati tunategemea shirika let pendwa ATCL kwa safari karibia zote za ndani? Je itakuwaje?
Mkuu vikwazo tunawekewa na nani? na suala lipi ? Tunaota ndoto mbaya kwa nchi yetu mpaka tunashikwa na ujinga.Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu
Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya vitu hatutaweza kupata kama taifa. Spares ya vitu kama ndege zinazotoka nchi kama Marekani yawwzekana zizipatikane. Je tutafanyaje wakati tunategemea shirika let pendwa ATCL kwa safari karibia zote za ndani? Je itakuwaje?
Kwani zile Hostel za UDSM hazijaisha? Zile zahanati,vituo vya afya nchi nzima zimeangushwa na upepo? Nimekubali, hata daraja la ubungo?
Unasemea zile hostel zenye expansion joint?Kwani zile Hostel za UDSM hazijaisha? Zile zahanati,vituo vya afya nchi nzima zimeangushwa na upepo? Nimekubali, hata daraja la ubungo?
Wewe wa Nairobi nlifikiri unategemea KQ, kumbe mnategemea ATCL na wala haifiki kwenu duh!Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu
Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya vitu hatutaweza kupata kama taifa. Spares ya vitu kama ndege zinazotoka nchi kama Marekani yawwzekana zizipatikane. Je tutafanyaje wakati tunategemea shirika let pendwa ATCL kwa safari karibia zote za ndani? Je itakuwaje?
tutachukua spare china, au dubai au koreaKwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu
Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya vitu hatutaweza kupata kama taifa. Spares ya vitu kama ndege zinazotoka nchi kama Marekani yawwzekana zizipatikane. Je tutafanyaje wakati tunategemea shirika let pendwa ATCL kwa safari karibia zote za ndani? Je itakuwaje?
Kibwengo 👿 ana ROHO ya Uharibifu, usiombe aguse sehemu.ATCL tngu kuanzishwa haijawahi kupata Faida.
Magufuli tangu amekuwa Rais Hajawahi kufanikiwa JAMBO LOLOTE.
Hii spear babu yangu alikuwa anatengeza.Spear ya vitu ndio nini?
Tanzania tuna midege isiyo na mbawa za kuziwezesha kuruka zilizonunuliwa na wafugaji wanaonunua ng'ombe wengi waonekane matajiri wakitumia masaa kuwahesabu huku wakilalia ngozi za mbuzi. Ethiopia ina ndege nyingi na Ethiopian Airline ni Shirika kubwa kuliko yote Afrika na limeunganisha nchi za Afrika na Afrika na ulimwengu lakini Utawala mbovu wa nchi hiyo ndio umefanya wananchi wao masikini kama nchi yetu ina madege, madini, SGR, korosho lakini wananchi ni masikini wa kutupwa. Ethiopia na Tanzania tatizo ni Uongozi!Tanzania mna ndege? Na Ethiopia wana nini ? Na bado kila siku wahamiaji haramu wanakimbia nchi yao na kukamatwa Tanzania , ndege so io ishu kabisaaa Ni teni pasenti ndio ishu kwa wanunuaji .