2021 ndege zetu zitaruka au zitaegeshwa?...?

2021 ndege zetu zitaruka au zitaegeshwa?...?

Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu

Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya vitu hatutaweza kupata kama taifa. Spares ya vitu kama ndege zinazotoka nchi kama Marekani yawezekana zisipatikane.

Je tutafanyaje wakati tunategemea shirika let pendwa ATCL kwa safari karibia zote za ndani? Je itakuwaje?
Ujinga ni kipaji.
 
Tanzania mna ndege? Na Ethiopia wana nini ? Na bado kila siku wahamiaji haramu wanakimbia nchi yao na kukamatwa Tanzania , ndege sio ishu kabisaaa Ni teni pasenti ndio ishu kwa wanunuaji .
10% kwa third party, sio moja kwa moja kwa manufacturer.
 
ATCL tangu kuanzishwa haijawahi kupata Faida.

Magufuli tangu amekuwa Rais Hajawahi kufanikiwa JAMBO LOLOTE.
Huo uongo sasa!!Ukuta wa mererani,stand kuu Msamvu Moro,Kibaha,korogwe.Kiwanda cha vigae Chalinze,eGovernment,mfumo wa ukusanyaji mapato ambao unalipia hata kwa wakala na mengi mengine.
 
Back
Top Bottom