2021 ndege zetu zitaruka au zitaegeshwa?...?

Bado ndege 5 zipo njiani tumenunua cash why tukope wakati pesa ipo
 
Ujinga ni kipaji.
 
Tanzania mna ndege? Na Ethiopia wana nini ? Na bado kila siku wahamiaji haramu wanakimbia nchi yao na kukamatwa Tanzania , ndege sio ishu kabisaaa Ni teni pasenti ndio ishu kwa wanunuaji .
10% kwa third party, sio moja kwa moja kwa manufacturer.
 
ATCL tangu kuanzishwa haijawahi kupata Faida.

Magufuli tangu amekuwa Rais Hajawahi kufanikiwa JAMBO LOLOTE.
Huo uongo sasa!!Ukuta wa mererani,stand kuu Msamvu Moro,Kibaha,korogwe.Kiwanda cha vigae Chalinze,eGovernment,mfumo wa ukusanyaji mapato ambao unalipia hata kwa wakala na mengi mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…