Hapa wapiga kelele JF hutawasikia Mkuu. Hii kitu ni heshima 5,600cc ni IST 4 hapoWakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.
NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau. View attachment 2853595View attachment 2853593
View attachment 2853591
Magari ya serikali yananifanya nisilipe kodi. Hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atalipa kodi serikalini. Hio hela ya kodi bora niiipeleka katika kiungocha kijijini kwetu . Kuna maendeleo makubwa tunafanya kijijini kwetu kwa kushirikiana.Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.
NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau. View attachment 2853595View attachment 2853593
View attachment 2853591
Nissan bado sana kwa land cruiser vxrSandaland anayo hiyo chuma nadhani hata land cruiser V8 inasubiri Kwa hiyo ndinga