2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.

NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau.
1703588531981.png
1703588469913.png

1703588423998.png
 
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.

NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau. View attachment 2853595View attachment 2853593
View attachment 2853591
Magari ya serikali yananifanya nisilipe kodi. Hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atalipa kodi serikalini. Hio hela ya kodi bora niiipeleka katika kiungocha kijijini kwetu . Kuna maendeleo makubwa tunafanya kijijini kwetu kwa kushirikiana.
 
Chuma hiyo anatembelea KADA mmoja tu (ambae mwanae kashashinda Chipukizi huko). Anayedai anapambania Wanyonge kwa kukataa Rushwa ya 300m TZS? Na wapiga kura wamejaa tayari. Ukiweza kucheza na akili za watu weusi umeyapatia maisha aisee
 
Acha uboya wewe thamani ya hio gari haikamilishi hata kituo cha afya (Health Center) sembuse hospitali???
 
Back
Top Bottom