2022/2023 CAF interclub special thread

2022/2023 CAF interclub special thread

Mkuu uko ndotoni au ? Geita gold anaenda shirikisho kwa kigezo Cha Costal union kupoteza kombe mbele ya Yanga (ASFc) ambapo Geita pia alikua nafasi ya nne upande was ligi kuu ........Sasa hapo endapo costal union angechukua kombe angeenda moja kwa moja shirikisho Alf Geita angebaki
Geita Gold ameingia kwenye shirikisho kwa kigezo kipi?
Mm nilifikiri Coastal Union ndio wenye nafasi ya pili Azam cup na kwa namna alivyopambana atacheza shirikisho barani Afrika.
 
Hii sheria iliwekwa kipindi Yanga au Simba alikuwa hana uhakika wa nafasi ya 4?
Kwa miaka ya hivi karibuni sidhani kama kuna msimu ambao Yanga Au Simba zilikosa uhakika wa kumaliza top 4, hatuna ligi ngumu hivyo labda tuone msimu huu.
 
Nimethibitisha pasi na kuacha shaka kwamba unayajua haya mambo. Hongera sana.

Nina swali dogo, ni ipi status ya Zanzibar kwenye mashindano ya CAF ?
Wanapata benefits zote za ngazi ya vilabu lakini hawazipati kwa ngazi ya timu za taifa. Why

Mkuu swali lako nikiri tu lina ugumu lakini naomba nilijibu kwa navyohisi mimi.

Nadhani kwavile Zanzibar hajawa mwanachama kamili wa CAF na hilo ni kutokana na kukosekana kwake katika uachama wa FIFA. Ili aweze kushiriki michuano ya timu za taifa, inabidi Tanzania bara tuwape kibali Zanzibar kupata uwakilishi FIFA.
 
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini huwa napenda watu wawe wanaelewa zaidi kuliko kukariri. Hakuna idadi kamili ya timu bora kuanzia raundi wa pili ya CAF CL. Hizo timu kumi zilikuwani kwa msimu uliopita, kila msimu idadi hupungua au huongezeka kulingana na idadi ya timu zote zilizothibitisha kushiriki. Kwa hiyo licha ya Simba kuwemo katika 10 bora ya washiriki wa CAF CL, inawezekana kabisa kwa msimu huu zikachukuliwa timu 7 au hata 12. Lengo la wapanga ratiba ni kwamba timuzichujane katika raundi ya awali lakini kwa namna yoyote round ya kwanza zibaki timu 32, ili makundi ziwepo timu 16. Sasa kwa kuwa idadi ya nchi na timu zinazothibitisha hubadilika mwaka hadi mwaka, hata timu zinazoanzia raundi ya awali idadi yake hubadilika. Kwa hiyonusishangae msimu huu Simba yumo katika 10 bora za washiriki lakini akaanzia raundi ya awali
Simba ipi ipo kwenye kumi bora?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hakuna guarantee ya timu 10 kuanzia hatua ya pili bali inategemea na idadi ya wanachama watakaoshiriki michuano.

Timu zinatakiwa ziwe jumla ya 64 ili zikicheza mechi za hatua ya awali zitoke 32 na zibakie 32 ambazo ndio zitacheza hatua inayofuata (hatua ya pili) na kisha zibaki timu 16 zitakazounda unda makundi manne.

Mfano msimu uliopita kulikuwa na wanachama 42 tu walioshiriki michuano katika jumla ya wanachama 54. Ukichukua idadi ya 42 ukitoa mashirikisho 12 zinazoingiza timu mbili mbili unabakiwa na wachama 30 walioingiza timu moja moja, hivyo imefanya kuwe na jumla ya timu 54 zilizoshiriki michuano ya klabu bingwa. Katika 54 ili timu zifike 64 kuna gap ya timu kumi hivyo hizo timu kumi ndio zilizoanzia hatua ya pili. Huku timu 44 zikianzia hatua ya awali ili kuweza kubalance timu zifike 32 zitakazocheza hatua ya pili.
64-54= 10
54 -10 = 44
44/2= 22
22+10=32
Timu zenyewe ambazo zinashiriki champions league ziko 54 katika hizo timu TOA timu 10 ambazo zinaanzia raund ya pili, kwa Nini ziwe timu!? Ni kwamba timu ukiangalia ranking za CAF Kuna timu za nchi moja ziko tatu ndani ya timu Kumi kwenye ranking za CAF.

Mfano misri inatimu tatu kwenye top ten ambazo ni Al ahyl,zamaleki, Na pyramid hivyo champions league hakuna nchi inayopeleka timu tatu ko lazima ziende mbili halafu huyu mwingne anaenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi moja kwenye rank ya CAF kuanzia raund ya pili ya mashindano hivyo hivyo Na Morocco Ana waydad,raja halafu yupo berkane wote wapo top ten ya CAF hivyo wanaenda wawili champions league then huyu wa tatu ataenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi Na mbili nae anaanzia raund ya pili
 
We ni pooza
 
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini huwa napenda watu wawe wanaelewa zaidi kuliko kukariri. Hakuna idadi kamili ya timu bora kuanzia raundi wa pili ya CAF CL. Hizo timu kumi zilikuwani kwa msimu uliopita, kila msimu idadi hupungua au huongezeka kulingana na idadi ya timu zote zilizothibitisha kushiriki. Kwa hiyo licha ya Simba kuwemo katika 10 bora ya washiriki wa CAF CL, inawezekana kabisa kwa msimu huu zikachukuliwa timu 7 au hata 12. Lengo la wapanga ratiba ni kwamba timuzichujane katika raundi ya awali lakini kwa namna yoyote round ya kwanza zibaki timu 32, ili makundi ziwepo timu 16. Sasa kwa kuwa idadi ya nchi na timu zinazothibitisha hubadilika mwaka hadi mwaka, hata timu zinazoanzia raundi ya awali idadi yake hubadilika. Kwa hiyonusishangae msimu huu Simba yumo katika 10 bora za washiriki lakini akaanzia raundi ya awali
Kwa mtazamo wangu Simba haipo kwenye Kumi Bora msimu uliopita Simba ilikuwa ya Kumi Na mbili kwenye rank za CAF hivyo isingeweza kuanzia raund ya pili Ila ilibebwa Na timu Kama Kaizer Chief ambayo ilikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake ilikuwa ya 9 hivyo ikashindwa kushiriki mashindano ya CAF nafasi yake ikachukuliwa mtu wa Kumi Na moja haya ukija pyramid alikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake akimaliza wa tatu hivyo akaenda shirikisho kwa maana hyo Simba akapata nafasi ya kuanzia raund ya pili

Sasa raund hii kwenye rank za CAF Simba ipo nafasi ya ngapi Kama ipo nafasi ya kuanzia Kumi nne itategemeana Na washiriki maana hapo Kuna timu ziko hapo kwenye Kumi Bora za CAF lkn ni ngumu kushiriki champions league mfano berkane,ambao ni ngumu kumaliza nafasi ya Kwanza au ya pili kwenye league Yao kutokana Na Ile miamba ya Casablancas Na pia pyramid Na yeye hivyo kutokana Na Ile miamba ya Cairo hivyo nafasi zao kuchukuliwa Na timu ambazo ni za Kumi Na moja Na Kumi Na mbili Sasa sisi Simba Kama tutakuwa nje ya hzo nafasi tuombe wengne wasishiriki hayo mashindano ndo sisi tuchukue nafasi zao tofauti Na hapo tunaanzia raund ya Kwanza Kama utoporo FC
 
uzi makini sana huu.

haya mambo kuna mpaka viongozi na wasemaji wa timu kubwa hawayajui,kuna mmoja amesema kwa kinywa kipana kabisa timu yake itaanzia hatua inayofuata kwasababu ni bingwa wa ligi ya NBC alafu Simba itaanzia hatua ya awali.
mimi mpaka niliona aibu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Timu zenyewe ambazo zinashiriki champions league ziko 54 katika hizo timu TOA timu 10 ambazo zinaanzia raund ya pili, kwa Nini ziwe timu!? Ni kwamba timu ukiangalia ranking za CAF Kuna timu za nchi moja ziko tatu ndani ya timu Kumi kwenye ranking za CAF.

Mfano misri inatimu tatu kwenye top ten ambazo ni Al ahyl,zamaleki, Na pyramid hivyo champions league hakuna nchi inayopeleka timu tatu ko lazima ziende mbili halafu huyu mwingne anaenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi moja kwenye rank ya CAF kuanzia raund ya pili ya mashindano hivyo hivyo Na Morocco Ana waydad,raja halafu yupo berkane wote wapo top ten ya CAF hivyo wanaenda wawili champions league then huyu wa tatu ataenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi Na mbili nae anaanzia raund ya pili
Point yako ni ipi mkuu, mbona haueleweki?
 
Kwa mtazamo wangu Simba haipo kwenye Kumi Bora msimu uliopita Simba ilikuwa ya Kumi Na mbili kwenye rank za CAF hivyo isingeweza kuanzia raund ya pili Ila ilibebwa Na timu Kama Kaizer Chief ambayo ilikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake ilikuwa ya 9 hivyo ikashindwa kushiriki mashindano ya CAF nafasi yake ikachukuliwa mtu wa Kumi Na moja haya ukija pyramid alikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake akimaliza wa tatu hivyo akaenda shirikisho kwa maana hyo Simba akapata nafasi ya kuanzia raund ya pili

Sasa raund hii kwenye rank za CAF Simba ipo nafasi ya ngapi Kama ipo nafasi ya kuanzia Kumi nne itategemeana Na washiriki maana hapo Kuna timu ziko hapo kwenye Kumi Bora za CAF lkn ni ngumu kushiriki champions league mfano berkane,ambao ni ngumu kumaliza nafasi ya Kwanza au ya pili kwenye league Yao kutokana Na Ile miamba ya Casablancas Na pia pyramid Na yeye hivyo kutokana Na Ile miamba ya Cairo hivyo nafasi zao kuchukuliwa Na timu ambazo ni za Kumi Na moja Na Kumi Na mbili Sasa sisi Simba Kama tutakuwa nje ya hzo nafasi tuombe wengne wasishiriki hayo mashindano ndo sisi tuchukue nafasi zao tofauti Na hapo tunaanzia raund ya Kwanza Kama utoporo FC
Mkuu kuna kitu kunaitwa association ranking (5 year ranking) halafu kuna club ranking (5 year ranking)

Association ranking ni mjumuisho wa alama zinazokusanywa na vilabu katika mashindano ya kimataifa ya champions league na confederation
kwenye association husika mfano Misri ina alama 183ambazo zimekuanywa kwa mjumusho wa timu zake zote zilizokusanywa ndani misimu mtano.

Association ranking ndio inayoamua nchi zibazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwasababu association 12 bora ndizo zitakazopata hiyo nafasi

Kuhusu club ranking
Ni point inayojikusanyia club kwa misimu mitano katika mashindano ya kimataifa.

Hakuna faida ya moja kwa moja kwa kuwa kwenye top 10 au top 12 bali kuna vipaumbele endapo ikitokea condition fulani mfano upungufu wa timu za kushiriki klabu bingwa.

Lakini ikitokea wanachama wote wa CAF wataleta timu zao hakutakuwa na faida kwa kuwa timu yenye nafasi ya juu kwenye rank, zaidi tu utasaidia association yako kupanda chat ili kuiwwzesha i maintain nafasi ya kuingiza timu mbili

Piga hesabu tu mfano memberr 50 wanashiriki katika klabu bingwa kati ya 54 maanake kutakuwa na jumla ya timu 62 hivyo imebakia timu mbili tu kufika 64 kama zinavyotakiwa kwenye hatua ya awali ambazo ni timu 64. Hivyo hapo ni timu mbili tu zitaanzia hatua ya pili. Ila ikitokea wanachama wameleta timu zinazofika 64 basi hakutakuwa na timu yoyote itakuanzia hatua ya pili bali timu zote 64 zitaanzia hatua ya awali kabisa
 
Update:

Mnao tarehe 9 mwezi huu wa nane, CAF wataendesha draw kwa ajili ya michezo ya hatua ya awali. Jumla ya wanachama 46 wamejitokeza kushiriki michuano ya kimataifa.

Hivyo kimahesabu ni kwamba kutakuwa na timu 58 zitakazoshiriki klabu bingwa kutoka mataifa 46 wanachama wa CAF. Yaani 46-12= 34
12x2= 24 hivyo jumla ya timu ni 34+24= 58

Kutokana na hesabu hiyo, ni timu sita pekee ndizo zilizopelea kufika timu 64 hivyo basi timu zote zitaanzia hatua ya awali isipokuwa timu sita bora tu kutoka kwenye 5 year CAF ranking ndio wataanzia hatua ya pili.

Hapa chini ni orodha ya vilabu na wanachama shiriki wa michuano ya kimataifa View attachment ykzpri1vwewnadrj3byd.pdf
 
Back
Top Bottom