Kwanini unasema ni uhakika?Simba kushiriki hatua ya pili ni uhakika mzee, wanaonzia hatua ya awali washajulikana
Imagine if you had a gun on your whip full of bullets, would you worry about street robbers?Kwanini unasema ni uhakika?
Geita Gold ameingia kwenye shirikisho kwa kigezo kipi?
Mm nilifikiri Coastal Union ndio wenye nafasi ya pili Azam cup na kwa namna alivyopambana atacheza shirikisho barani Afrika.
Point mkuu Yanga anapoint 0.5 Alf Simba ana 29Kwanini unasema ni uhakika?
Umeona ufafanuzi uliotolewa huko juu? Hizo point hazitosaidia chochote kama msimu huu wanachama washirika wa CAF watakuwa ni wengi watakaoshiriki mashindanoPoint mkuu Yanga anapoint 0.5 Alf Simba ana 29
Kwa miaka ya hivi karibuni sidhani kama kuna msimu ambao Yanga Au Simba zilikosa uhakika wa kumaliza top 4, hatuna ligi ngumu hivyo labda tuone msimu huu.Hii sheria iliwekwa kipindi Yanga au Simba alikuwa hana uhakika wa nafasi ya 4?
Kwahyo mpka sasa hitimisho ni lipi ?Umeona ufafanuzi uliotolewa huko juu? Hizo point hazitosaidia chochote kama msimu huu wanachama washirika wa CAF watakuwa ni wengi watakaoshiriki mashindano
Nimethibitisha pasi na kuacha shaka kwamba unayajua haya mambo. Hongera sana.
Nina swali dogo, ni ipi status ya Zanzibar kwenye mashindano ya CAF ?
Wanapata benefits zote za ngazi ya vilabu lakini hawazipati kwa ngazi ya timu za taifa. Why
Mpaka sasa tunasubiri majibu kutoka caf mwezi wa naneKwahyo mpka sasa hitimisho ni lipi ?
Simba ipi ipo kwenye kumi bora?Mimi ni shabiki wa Simba, lakini huwa napenda watu wawe wanaelewa zaidi kuliko kukariri. Hakuna idadi kamili ya timu bora kuanzia raundi wa pili ya CAF CL. Hizo timu kumi zilikuwani kwa msimu uliopita, kila msimu idadi hupungua au huongezeka kulingana na idadi ya timu zote zilizothibitisha kushiriki. Kwa hiyo licha ya Simba kuwemo katika 10 bora ya washiriki wa CAF CL, inawezekana kabisa kwa msimu huu zikachukuliwa timu 7 au hata 12. Lengo la wapanga ratiba ni kwamba timuzichujane katika raundi ya awali lakini kwa namna yoyote round ya kwanza zibaki timu 32, ili makundi ziwepo timu 16. Sasa kwa kuwa idadi ya nchi na timu zinazothibitisha hubadilika mwaka hadi mwaka, hata timu zinazoanzia raundi ya awali idadi yake hubadilika. Kwa hiyonusishangae msimu huu Simba yumo katika 10 bora za washiriki lakini akaanzia raundi ya awali
Iliwekwa ili kuibeba Namungo kipindi hichoHii sheria iliwekwa kipindi Yanga au Simba alikuwa hana uhakika wa nafasi ya 4?
Timu zenyewe ambazo zinashiriki champions league ziko 54 katika hizo timu TOA timu 10 ambazo zinaanzia raund ya pili, kwa Nini ziwe timu!? Ni kwamba timu ukiangalia ranking za CAF Kuna timu za nchi moja ziko tatu ndani ya timu Kumi kwenye ranking za CAF.Hakuna guarantee ya timu 10 kuanzia hatua ya pili bali inategemea na idadi ya wanachama watakaoshiriki michuano.
Timu zinatakiwa ziwe jumla ya 64 ili zikicheza mechi za hatua ya awali zitoke 32 na zibakie 32 ambazo ndio zitacheza hatua inayofuata (hatua ya pili) na kisha zibaki timu 16 zitakazounda unda makundi manne.
Mfano msimu uliopita kulikuwa na wanachama 42 tu walioshiriki michuano katika jumla ya wanachama 54. Ukichukua idadi ya 42 ukitoa mashirikisho 12 zinazoingiza timu mbili mbili unabakiwa na wachama 30 walioingiza timu moja moja, hivyo imefanya kuwe na jumla ya timu 54 zilizoshiriki michuano ya klabu bingwa. Katika 54 ili timu zifike 64 kuna gap ya timu kumi hivyo hizo timu kumi ndio zilizoanzia hatua ya pili. Huku timu 44 zikianzia hatua ya awali ili kuweza kubalance timu zifike 32 zitakazocheza hatua ya pili.
64-54= 10
54 -10 = 44
44/2= 22
22+10=32
We ni poozaTimu zenyewe ambazo zinashiriki champions league ziko 54 katika hizo timu TOA timu 10 ambazo zinaanzia raund ya pili, kwa Nini ziwe timu!? Ni kwamba timu ukiangalia ranking za CAF Kuna timu za nchi moja ziko tatu ndani ya timu Kumi kwenye ranking za CAF.
Mfano misri inatimu tatu kwenye top ten ambazo ni Al ahyl,zamaleki, Na pyramid hivyo champions league hakuna nchi inayopeleka timu tatu ko lazima ziende mbili halafu huyu mwingne anaenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi moja kwenye rank ya CAF kuanzia raund ya pili ya mashindano hivyo hivyo Na Morocco Ana waydad,raja halafu yupo berkane wote wapo top ten ya CAF hivyo wanaenda wawili champions league then huyu wa tatu ataenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi Na mbili nae anaanzia raund ya pili
Kwa mtazamo wangu Simba haipo kwenye Kumi Bora msimu uliopita Simba ilikuwa ya Kumi Na mbili kwenye rank za CAF hivyo isingeweza kuanzia raund ya pili Ila ilibebwa Na timu Kama Kaizer Chief ambayo ilikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake ilikuwa ya 9 hivyo ikashindwa kushiriki mashindano ya CAF nafasi yake ikachukuliwa mtu wa Kumi Na moja haya ukija pyramid alikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake akimaliza wa tatu hivyo akaenda shirikisho kwa maana hyo Simba akapata nafasi ya kuanzia raund ya piliMimi ni shabiki wa Simba, lakini huwa napenda watu wawe wanaelewa zaidi kuliko kukariri. Hakuna idadi kamili ya timu bora kuanzia raundi wa pili ya CAF CL. Hizo timu kumi zilikuwani kwa msimu uliopita, kila msimu idadi hupungua au huongezeka kulingana na idadi ya timu zote zilizothibitisha kushiriki. Kwa hiyo licha ya Simba kuwemo katika 10 bora ya washiriki wa CAF CL, inawezekana kabisa kwa msimu huu zikachukuliwa timu 7 au hata 12. Lengo la wapanga ratiba ni kwamba timuzichujane katika raundi ya awali lakini kwa namna yoyote round ya kwanza zibaki timu 32, ili makundi ziwepo timu 16. Sasa kwa kuwa idadi ya nchi na timu zinazothibitisha hubadilika mwaka hadi mwaka, hata timu zinazoanzia raundi ya awali idadi yake hubadilika. Kwa hiyonusishangae msimu huu Simba yumo katika 10 bora za washiriki lakini akaanzia raundi ya awali
Toa fact zako au pia poozaWe ni pooza
Point yako ni ipi mkuu, mbona haueleweki?Timu zenyewe ambazo zinashiriki champions league ziko 54 katika hizo timu TOA timu 10 ambazo zinaanzia raund ya pili, kwa Nini ziwe timu!? Ni kwamba timu ukiangalia ranking za CAF Kuna timu za nchi moja ziko tatu ndani ya timu Kumi kwenye ranking za CAF.
Mfano misri inatimu tatu kwenye top ten ambazo ni Al ahyl,zamaleki, Na pyramid hivyo champions league hakuna nchi inayopeleka timu tatu ko lazima ziende mbili halafu huyu mwingne anaenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi moja kwenye rank ya CAF kuanzia raund ya pili ya mashindano hivyo hivyo Na Morocco Ana waydad,raja halafu yupo berkane wote wapo top ten ya CAF hivyo wanaenda wawili champions league then huyu wa tatu ataenda shirikisho nafasi yake inachukuliwa Na Yule ambae amemaliza nafasi ya Kumi Na mbili nae anaanzia raund ya pili
Mkuu kuna kitu kunaitwa association ranking (5 year ranking) halafu kuna club ranking (5 year ranking)Kwa mtazamo wangu Simba haipo kwenye Kumi Bora msimu uliopita Simba ilikuwa ya Kumi Na mbili kwenye rank za CAF hivyo isingeweza kuanzia raund ya pili Ila ilibebwa Na timu Kama Kaizer Chief ambayo ilikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake ilikuwa ya 9 hivyo ikashindwa kushiriki mashindano ya CAF nafasi yake ikachukuliwa mtu wa Kumi Na moja haya ukija pyramid alikuwa kwenye hizo timu Kumi za CAF lkn kwenye league yake akimaliza wa tatu hivyo akaenda shirikisho kwa maana hyo Simba akapata nafasi ya kuanzia raund ya pili
Sasa raund hii kwenye rank za CAF Simba ipo nafasi ya ngapi Kama ipo nafasi ya kuanzia Kumi nne itategemeana Na washiriki maana hapo Kuna timu ziko hapo kwenye Kumi Bora za CAF lkn ni ngumu kushiriki champions league mfano berkane,ambao ni ngumu kumaliza nafasi ya Kwanza au ya pili kwenye league Yao kutokana Na Ile miamba ya Casablancas Na pia pyramid Na yeye hivyo kutokana Na Ile miamba ya Cairo hivyo nafasi zao kuchukuliwa Na timu ambazo ni za Kumi Na moja Na Kumi Na mbili Sasa sisi Simba Kama tutakuwa nje ya hzo nafasi tuombe wengne wasishiriki hayo mashindano ndo sisi tuchukue nafasi zao tofauti Na hapo tunaanzia raund ya Kwanza Kama utoporo FC
Iliwekwa ili kumsaidia utopoloHii sheria iliwekwa kipindi Yanga au Simba alikuwa hana uhakika wa nafasi ya 4?