2022 Marcedes Benz EQS

Kabisa mkuu na mamiloo yupo pembeni inakuwa trip moja kali sana. Nimekuwa addicted na european cars nimekuwa kama mlevi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kodi ni tatizo bado, sijui ni lini nchi yetu itaangalia na hapo
Tumuombe Mama na mtaalamu mpango watusikilize tuache kutumia makopo kila kukicha tunashinda kuuliza JF magari yasiyosumbua...
Kodi changamoto kwenye magari hakuna factor yeyote Mkuu wala usidanganye watu ndio maana huoni gari za 2020 au 2021 zikizagaa mtaani hiyo Tesla unayosema labda ni ya 2010 kwenda chini tunazungumzia magari na Kodi wewe unazungumzia uchakavu...
 
Kwahiyo unataka ununue gari lenye CIF ya $20,000 uje kulipa kodi ya $2,500?

Manake gari ambazo ni recent hata CIF nayo inaongezeka.

Mfano gari ya 2019 inaweza ikawa na CIF ya $30,000, wewe ulitaka ulipe kodi kiasi gani?
 
Kwahiyo unataka ununue gari lenye CIF ya $20,000 uje kulipa kodi ya $2,500?

Manake gari ambazo ni recent hata CIF nayo inaongezeka.

Mfano gari ya 2019 inaweza ikawa na CIF ya $30,000, wewe ulitaka ulipe kodi kiasi gani?
Iwe favourable sijazungumzia nilipe 2500 na wala sijagoma kulipa gari nayotumia bongo tunazo wabishi wachache mno ikiwa favourable mtatumia magari mazuri mtaacha kulalamika humu JF kila kukicha magari ya miaka ya karibuni yana raha yake mimi nimecopy kutoka kwa Wazambia na Wakongo na wanatushangaa sisi tupo busy na viberiti na machakavu muda wote kuyasifia...
 
Ndio maana nasema, kwa mtazamo wangu, component ya kodi ni item ndogo sana kwenye sababu ya kwanini magari mazuri hayaji bongo.

Gari kama hilo hapo juu, ukiuziwa hata $15,000. Ukaambiwa usilipe kodi kabisa. Ndani ya miaka mitatu au minne utajikuta umetumia almost $6,000 kulimantain.
 
Sio kweli mbona mnadanganya vitu ambavyo havipo hiyo gari utanunua nini kwenye miaka sita Mkuu...ukipata gari mpya unatumia kwa muda mrefu bila kuligharamia labda liwe Roli...
 
Jamaa unapesa
 
Ukitaka kununua gari mpya bora uende kwa dealer hapo dar kisha unachukua kwa contract ya miaka mitano ,unakuta kwa mwezi unalipa m3 maisha yanasonga.
 
Upo vizuri sana. Asilimia kubwa ya watu wanalia kodi humu ndani watu karibia wote wanalia na kodi.. kama kwako kodi sio issue upo mahala pazuri.
[emoji23][emoji23][emoji23] asikudanganye mtu mzee baba factor ya kwanza ni kodi kubwaa jombaa hizo story za miundombinu ni story tu za wabongo.

Tesla hata hapo Kenya ipo na miundo mbinu yake haitofautiani sana na bongo.

Kama ni kuchaji ukiwa na Tesla wall connector unachajia ndinga hata home tu kama simu.
 
wengine tuna wakubaliaga tu ili siku ziende πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila leo nimejifunza kitu mkuu,ntaanza kukubali vitu kishingo upande tu ilimradi nisibishane tu.
😁😁😁😁 unaweza jikuta unabishana na Mo Dewji au Rostam Azizi.. bora kujikalia kimya huku unashika tamaaa πŸ€”.. siku ziende na maisha mengine.. jamaa ndio mwenye G - Wagon S 63 AMG ya 2019.. lazima kodi kwake sio issue πŸ™ˆπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…