aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Imetulia kiasi chake mkuu. Fungulia mziki mnene unapiga route ndefu Maisha yakupe nini matamu kama sio magari[emoji23][emoji23]just kidingE250 ukipata mpya bado matusi yake ni ya juu sanaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetulia kiasi chake mkuu. Fungulia mziki mnene unapiga route ndefu Maisha yakupe nini matamu kama sio magari[emoji23][emoji23]just kidingE250 ukipata mpya bado matusi yake ni ya juu sanaa..
Kabisa mkuu na mamiloo yupo pembeni inakuwa trip moja kali sana. Nimekuwa addicted na european cars nimekuwa kama mlevi [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu gari ni raha sana, unatoka zako Dar hapa.. unapiga kwanza hadi geita unapitia ya kahama, alafu unatokea mwanza kupitia busisi, alafu unakuja hadi singida, unakunja pale hadi arusha, alafu unatoka arusha unapiga hadi dodoma, unatoka dodoma unapiga hadi iringa mbeya.. unatokea mtwara huku hadi dar tena unarudi unatulia unapanga route ingine.. ila uwe na chombo haswaaa na pisi kaliii sana pembeni yani raha sanaaa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumuombe Mama na mtaalamu mpango watusikilize tuache kutumia makopo kila kukicha tunashinda kuuliza JF magari yasiyosumbua...Kodi ni tatizo bado, sijui ni lini nchi yetu itaangalia na hapo
Kodi changamoto kwenye magari hakuna factor yeyote Mkuu wala usidanganye watu ndio maana huoni gari za 2020 au 2021 zikizagaa mtaani hiyo Tesla unayosema labda ni ya 2010 kwenda chini tunazungumzia magari na Kodi wewe unazungumzia uchakavu...Kodi ni factor ndogo sana kwenye ununuzi wa magari.
Miundombinu mibovu na ukosefu wa utaalamu ndo sababu kuogopa haya magari.
Napenda magari ya umeme kama tesla ila shida nikiwaza hii miundombinu na jinsi hakuna mafundi ndo naona bora niendelee na haya mengine.
Ila haya magari matamu sana.
Kwahiyo unataka ununue gari lenye CIF ya $20,000 uje kulipa kodi ya $2,500?Tumuombe Mama na mtaalamu mpango watusikilize tuache kutumia makopo kila kukicha tunashinda kuuliza JF magari yasiyosumbua...
Kodi changamoto kwenye magari hakuna factor yeyote Mkuu wala usidanganye watu ndio maana huoni gari za 2020 au 2021 zikizagaa mtaani hiyo Tesla unayosema labda ni ya 2010 kwenda chini tunazungumzia magari na Kodi wewe unazungumzia uchakavu...
Iwe favourable sijazungumzia nilipe 2500 na wala sijagoma kulipa gari nayotumia bongo tunazo wabishi wachache mno ikiwa favourable mtatumia magari mazuri mtaacha kulalamika humu JF kila kukicha magari ya miaka ya karibuni yana raha yake mimi nimecopy kutoka kwa Wazambia na Wakongo na wanatushangaa sisi tupo busy na viberiti na machakavu muda wote kuyasifia...Kwahiyo unataka ununue gari lenye CIF ya $20,000 uje kulipa kodi ya $2,500?
Manake gari ambazo ni recent hata CIF nayo inaongezeka.
Mfano gari ya 2019 inaweza ikawa na CIF ya $30,000, wewe ulitaka ulipe kodi kiasi gani?
Ndio maana nasema, kwa mtazamo wangu, component ya kodi ni item ndogo sana kwenye sababu ya kwanini magari mazuri hayaji bongo.Iwe favourable sijazungumzia nilipe 2500 na wala sijagoma kulipa gari nayotumia bongo tunazo wabishi wachache mno ikiwa favourable mtatumia magari mazuri mtaacha kulalamika humu JF kila kukicha magari ya miaka ya karibuni yana raha yake mimi nimecopy kutoka kwa Wazambia na Wakongo na wanatushangaa sisi tupo busy na viberiti na machakavu muda wote kuyasifia...
Sio kweli mbona mnadanganya vitu ambavyo havipo hiyo gari utanunua nini kwenye miaka sita Mkuu...ukipata gari mpya unatumia kwa muda mrefu bila kuligharamia labda liwe Roli...Ndio maana nasema, kwa mtazamo wangu, component ya kodi ni item ndogo sana kwenye sababu ya kwanini magari mazuri hayaji bongo.
Gari kama hilo hapo juu, ukiuziwa hata $15,000. Ukaambiwa usilipe kodi kabisa. Ndani ya miaka mitatu au minne utajikuta umetumia almost $6,000 kulimantain.
Jamaa unapesaKodi ni factor ndogo sana kwenye ununuzi wa magari.
Miundombinu mibovu na ukosefu wa utaalamu ndo sababu kuogopa haya magari.
Napenda magari ya umeme kama tesla ila shida nikiwaza hii miundombinu na jinsi hakuna mafundi ndo naona bora niendelee na haya mengine.
Ila haya magari matamu sana.
kama naona vile. fundi hamis & co.Hawa mafundi wetu wakianza ichokonoa hii.. Dah
[emoji91][emoji91][emoji91]
Hii kitu raha tupu ukiwa nayo! Lakini sio na barabara zetu 😂
[emoji23][emoji23][emoji23] asikudanganye mtu mzee baba factor ya kwanza ni kodi kubwaa jombaa hizo story za miundombinu ni story tu za wabongo.Upo vizuri sana. Asilimia kubwa ya watu wanalia kodi humu ndani watu karibia wote wanalia na kodi.. kama kwako kodi sio issue upo mahala pazuri.
wengine tuna wakubaliaga tu ili siku ziende 🤓🤓🤓[emoji23][emoji23][emoji23] asikudanganye mtu mzee baba factor ya kwanza ni kodi kubwaa jombaa hizo story za miundombinu ni story tu za wabongo.
Tesla hata hapo Kenya ipo na miundo mbinu yake haitofautiani sana na bongo.
Kama ni kuchaji ukiwa na Tesla wall connector unachajia ndinga hata home tu kama simu.
😂😂😂 mwendo wa kukubali kishingo upande tu.wengibe tuna wakubaliaga tu ili siku ziende 🤓🤓🤓
Hamna namna, huenda jamaa ni milionea ndio hashtushwi na vi kodi vya TRA 😎😎😂😂😂 mwendo wa kukubali kishingo upande tu.
😂😂😂 ila leo nimejifunza kitu mkuu,ntaanza kukubali vitu kishingo upande tu ilimradi nisibishane tu.Hamna namna, huenda jamaa ni milionea ndio hashtushwi na vi kodi vya TRA 😎😎
😁😁😁😁 unaweza jikuta unabishana na Mo Dewji au Rostam Azizi.. bora kujikalia kimya huku unashika tamaaa 🤔.. siku ziende na maisha mengine.. jamaa ndio mwenye G - Wagon S 63 AMG ya 2019.. lazima kodi kwake sio issue 🙈🐒😂😂😂 ila leo nimejifunza kitu mkuu,ntaanza kukubali vitu kishingo upande tu ilimradi nisibishane tu.