Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mwanangu una madongo ya ukweli ukweli.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unaweza jikuta unabishana na Mo Dewji au Rostam Azizi.. bora kujikalia kimya huku unashika tamaaa [emoji848].. siku ziende na maisha mengine.. jamaa ndio mwenye G - Wagon S 63 AMG ya 2019.. lazima kodi kwake sio issue [emoji85][emoji205]
Hivi hii gari ipo hapa TZ au nae alipiga picha, wadau wakaamua vumisha. 🐵🐵[emoji23][emoji23][emoji23] daah mwanangu una madongo ya ukweli ukweli.View attachment 1758321
Jamaa alikua ameweka order by then mzee baba sijui iliishia wapi.Hivi hii gari ipo hapa TZ au nae alipiga picha, wadau wakaamua vumisha. 🐵🐵
alitishwa kuvalishwa kanga tena au alipewa uhakika wa kuto valishwa kanga tena.... watu wabayaaa aseeeJamaa alikua ameweka order by then mzee baba sijui iliishia wapi.
Sio kweli hizi hesabu mnatoa wapi aisee yaani gari Jipya lenye warrant wewe unatoa pesa ya nini kulitengeneza mazee gari jipya unatumia mpaka unasahau..Ndio maana nasema, kwa mtazamo wangu, component ya kodi ni item ndogo sana kwenye sababu ya kwanini magari mazuri hayaji bongo.
Gari kama hilo hapo juu, ukiuziwa hata $15,000. Ukaambiwa usilipe kodi kabisa. Ndani ya miaka mitatu au minne utajikuta umetumia almost $6,000 kulimantain.