2022 Marcedes Benz EQS

2022 Marcedes Benz EQS

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unaweza jikuta unabishana na Mo Dewji au Rostam Azizi.. bora kujikalia kimya huku unashika tamaaa [emoji848].. siku ziende na maisha mengine.. jamaa ndio mwenye G - Wagon S 63 AMG ya 2019.. lazima kodi kwake sio issue [emoji85][emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mwanangu una madongo ya ukweli ukweli.
Screenshot_2021-04-20-16-20-54-1.jpg
 
Germany cars ni kitu kingine jamani. Tuache utani. Kama umeshawahi kuendesha chuma cha Mjeremani utanielewa. Wengi tunajifariji kwa maneno mingiiii.....lakini deep down Germany machine is the best. And ofcourse money is the biggest differentiator.
 
Ndio maana nasema, kwa mtazamo wangu, component ya kodi ni item ndogo sana kwenye sababu ya kwanini magari mazuri hayaji bongo.

Gari kama hilo hapo juu, ukiuziwa hata $15,000. Ukaambiwa usilipe kodi kabisa. Ndani ya miaka mitatu au minne utajikuta umetumia almost $6,000 kulimantain.
Sio kweli hizi hesabu mnatoa wapi aisee yaani gari Jipya lenye warrant wewe unatoa pesa ya nini kulitengeneza mazee gari jipya unatumia mpaka unasahau..
 
Back
Top Bottom