darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Kwa Wanaozijua Hizo Gari Wakiona Iyo Bei Wananikimbilia Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu.Hii ndio unasema bai ya kijamiii ,unajua Hali ya ugumu WA shilingi Kwa Sasa ???
Karibu Sana Japo Zipo Pick Up Namba A Na B Za Bei Iyo Ya 40Daasas nilidhania bei jamii itakuwa below 40m khaaaaa asantee.....