Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye .
Arsenal 0-2 Westharm
Arsenal 0-2 Westharm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana !Hilo linajulikana ni basi tu watu wanakaza vichwa
Huu Uzi ni wa msimu uliopita jamaa alitabiri hamtashinda chochote mkamtukana lakini mwisho wa siku aliibuka shujaa...Kilichobaki kwenye team zenu ni Kama sisi tu historia historia.
Zaid Zaid mtatamba na uefa, europa mlizochukua miaka hiyo
Haiya ligi si ndio hii, pambaneni tuwaone
Arsenal akifungwa habari ya mjini kila mtua ana anzisha nyuzi[emoji16][emoji16][emoji16].
Tunasema sisi bado ni title contender, tumeanza msimu uliopita na hu tumo.
Kweli kabisa japo nami ni Asenali wali.Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye .
Arsenal 0-2 Westharm
Hata hiyo beki 3 na 2 zinalazimishwa tu na kocha. Beki mzuri Kieran Tierney kapotezwa na Timber, Ben White wanachezeshwa wrong position unategemea nini?Arsenal kama wanataka ubingwa wanatakiwa wamtafute legend mmoja kwenye team kwasababu wale watoto wanacheza kama kwenye academy wanatakiwa wawe na kiongozi kama Milner alivyokuwa liverpool.
Man City amefungwa mechi 3, mmoja wapo ni Arsenal. Vipi naye Man City anacheza kama academy!Arsenal kama wanataka ubingwa wanatakiwa wamtafute legend mmoja kwenye team kwasababu wale watoto wanacheza kama kwenye academy wanatakiwa wawe na kiongozi kama Milner alivyokuwa liverpool.
Msimu uliopita vip mkuu 2022-2023Huu Uzi ni wa msimu uliopita jamaa alitabiri hamtashinda chochote mkamtukana lakini mwisho wa siku aliibuka shujaa...
Na hata msimu huu mmerudia kosa lile lile.... Nyie sio title contender Bali ni title pretender
Hujaongea kimpira umeongea kimuhemko itafakari comment yangu kinachoitesa arsenal ndio kinachoitesa Barcelona huwezi kuondoa identity ya club yote halafu ufanikiwe hata Guardiola alipokuja Manchester city hakuwaondoa mastaa wote kina aguero waliobaki waliokoa jahazi mpaka walipojipata Manchester United the same mistakes yaani hakuna leader kwenye dressing room wote hawaijui historia ya club na wanahitaji mwana saikolojia pia.Man City amefungwa mechi 3, mmoja wapo ni Arsenal. Vipi naye Man City anacheza kama academy!
Kwenye ligi bingwa ni mmoja tu,, vipi timu zenye identity, leader anayeijua club na mwana saikolojia ila hawachukui ubingwa, nao wanahitaji nini?Hujaongea kimpira umeongea kimuhemko itafakari comment yangu kinachoitesa arsenal ndio kinachoitesa Barcelona huwezi kuondoa identity ya club yote halafu ufanikiwe hata Guardiola alipokuja Manchester city hakuwaondoa mastaa wote kina aguero waliobaki waliokoa jahazi mpaka walipojipata Manchester United the same mistakes yaani hakuna leader kwenye dressing room wote hawaijui historia ya club na wanahitaji mwana saikolojia pia.