Mbona LC300 zipo na bei juu kuliko hizo.Hii gari sidhani kama tutaiona Tz kwasasa.
Wakati RAV 4 latest model ya 2O2O inatoka niliiweka humu. Nilikuwa na akili hizo hizo kuwa bongo zitazagaa 2O3O...Tutaanza kuziona bongo 2040
Hio ni swala la Muda tu utasikia watoto wa bahkresa walisha pre-order. Ila hii iko sexy sana ikiwa na rangi moja.Mbona LC300 zipo na bei juu kuliko hizo.
πππ Figo ingekuwa ukiuza inaota ingine ningeuza mbili invite chuma hiyoHio ni swala la Muda tu utasikia watoto wa bahkresa walisha pre-order. Ila hii iko sexy sana ikiwa na rangi moja.
Ukiwa mlamba asali ni swala dogo sana hilo, andaa 18OM tu ikiwa na ushuru ndani unatembelea next month πππuchumi problem mkuu
180 ni wachache wana huo ubavu.. labda turogane kwamzaUkiwa mlamba asali ni swala dogo sana hilo, andaa 18OM tu ikiwa na ushuru ndani unatembelea next month πππ
Lazma tunguli zihusike, Halafu hii kitu ni US Spec mzee so mwendo wa 28O itahusikaπππ180 ni wachache wana huo ubavu.. labda turogane kwamza
Tuwazia sasahivi 340kmh, hizi 280kmh kama za kufikoa Kuna Audi nimetokea kuiangalia mda huu Ina hiyo 280kmhLazma tunguli zihusike, Halafu hii kitu ni US Spec mzee so mwendo wa 28O itahusikaπππ