2023 Toyota Crown

2023 Toyota Crown

Lazma tunguli zihusike, Halafu hii kitu ni US Spec mzee so mwendo wa 28O itahusika😀😀😀
Tuwazia sasahivi 340kmh, hizi 280kmh kama za kufikoa Kuna Audi nimetokea kuiangalia mda huu Ina hiyo 280kmh
 
Serikali yetu yatakiwa ipunguze kodi kwenye magari mapya
Angalau itozwe import duty pekee
Zingine zifutwe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom